#HABARI: Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema, kama atapata ridhaa ya kuongoza nchi atahakisha kuwa eneo la soko la Mabibo maarufu kama Soko la Ndizi, Serikali inalijenga kisasa ili soko hilo liweze kuwahudumia watu wengi zaidi.

Mhe. Doyo ameyasema hayo alipokuwa katika kampeni zake katika soko hilo la Mabibo jijini Dar es Salaam kuomba kura na kwamba anatambua umuhimu wa soko hilo na hivyo kuliacha bila ya kuliendeleza ni kuwanyima fursa wananchi wa eneo hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *