Tanzania na mataifa mengine duniani leo imeadhimisha Siku ya Kutokomeza Umaskini huku changamoto za kukabiliana na hali hiyo zikitazamwa kwa mitazamo mchanganyiko.

Katika kuliangazia hilo Blanka Tesha ameeleza mbinu anazozitumia kujikwamua kiuchumi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *