#HABARI: Wakati zoezi la kusaka kura kwa vyama vya siasa likiendelea katika maeneo mbalimbali nchini, Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Mgombea Mwenza Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Balozi Dokta Emmnauel Nchimbi, akiwa katika maeneo ya Kilosa, Mikumi na Kilombero mkoani Morogoro kunadi sera na kuomba kura kwa wananchi, amesema chama hicho katika kipindi cha miaka mitano ijayo kikichaguliwa na kuunda serikali, kimedhamiria kuimarisha sekta za Kilimo, Uvuvi na Ufugaji mkoani humo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *