#HAARI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali inaangalia uwezekano wa kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata Shaba mkoani Rukwa, ili kuhakikisha rasilimali za Madini zinazopatikana katika mkoa huo zinachakatwa ndani ya nchi kwa manufaa ya wananchi.

Dkt.Samia amesema Rukwa ni miongoni mwa mikoa yenye utajiri mkubwa wa Madini, ikiwemo Makaa ya Mawe, Shaba, Helium na vito vya thamani aina ya Emerald, huku serikali ikiendelea na tafiti zaidi kubaini rasilimali nyingine zilizopo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *