23.10.202523 Oktoba 2025 Marekani yaiwekea vikwazo vikubwa sekta ya mafuta ya Urusi//Mahakama ya ICJ yaitaka Israel iikubalie UNRWA kufanya shughuli zake Gaza//Na Misri na Umoja wa Ulaya wasaini makubaliano ya kuzidisha ushirikiano. https://p.dw.com/p/52RqT Post navigation Uwanja wa ndege wa Khartoum, Sudan, wapokea ndege ya kwanza ya baada ya zaidi ya miaka miwili Misri na EU wasaini makubaliano ya kuzidisha ushirikiano