#HABARI: Abiria waliokuwa wanasafiri na treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma wameipongeza Serikali na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kuchukua hatua haraka na kurejesha huduma ya usafiri wa treni za SGR kufuatia ajali iliyotokea eneo la Ruvu, mkoani Pwani Oktoba 23, 2025.
Kwa nyakati tofauti katika vituo vya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, abiria hao wamesema baada ya kupata taarifa ya ajali, hawakuwa na matarajio ya kuendelea na safari lakini walionyesha kushangazwa na namna Serikali ilivyochukua hatua haraka na kufanikisha safari kurejea kama kawaida.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania