Wananchi wanaoishi kando ya Mto Kagera ambao maji yake yanatumika kuzalisha umeme wa mradi wa Rusumo ambao unahudumia nchi tatu za Tanzania, Burundi na Rwanda wamehimizwa kulinda vyanzo vya mto huo kwa kutofanya shughuli za kibinadamu zinazoweza kuathiri upatikanaji wa maji hayo.
Maagizo hayo yametolewa ili mradi huo uendelee kuwanufaisha wakazi hao kama anavyoeleza Ester Sumira katika taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi