Makarani wa Uchaguzi Mkuu wilayani Itigi mkoani Singida wametahadharishwa kutotekeleza majukumu yao kwa kuzingatia uzoefu wa ushiriki katika vipindi kama hivi na badala yake wasome, wajifunze na wazingatie miongozo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya mwaka huu.

Deus Liganga ameshuhudia makarani hao wakiapishwa sambamba na kupewa maagizo hayo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *