Takribani wananchi 228,866 wanatarajiwa kupiga kura katika jimbo la Bukombe mkoani Geita huku makarani 620 wakikamilisha mafunzo kwa ajili ya kusimamia Uchaguzi Mkuu katika tarafa tatu zenye kata 17 na vijiji 64 kwa pamoja vikiwa na jumla ya vituo 586 vya kupigia kura.
Ester Sumira ameandaa taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi