#HABARI: Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani Dkt. Chakou Tindwa, amesema mageuzi makubwa ya kimaendeleo yaliyofanywa na Serikali chini ya mgombea wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kigezo tosha cha kuwashawishi Watanzania kumchagua tena kuongoza nchi kwa miaka mingine mitano.

‎Dkt. Chakou Tindwa ameyasema hayo wilayani Kisarawe mkoani Pwani wakati wa mkutano wa kufunga kampeni ngazi ya wilaya hiyo ambapo ametumia jukwaa hilo kuwasihi Watanzania wote kutumia haki ya kikatiba katika kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kuwachagua viongozi watakao waongoza kwa miaka mitano ijayo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *