#HABARI: Raia sita wa Iran, wamekamatwa Mashariki mwa Mombasa nchini Kenya wakisafirisha shehena kubwa ya dawa za kulevya kuwahi kukamatwa nchini humo, Waziri wa Usalama wa Taifa Kipchuma Murkomen amesema thamani ya dawa hizo ni kiasi cha shilingi Bilioni 10 za Kenya.
Waziri Kipchumba pia amesema raia hao wa Iran watapelekwa kortini kisha dawa hizo zitaharibiwa umma ukishuhudia.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania @dancanmaiche