Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akiagana na makundi mbalimbali ya wanahabari, wapigapicha, wananchi na vikundi vya hamasa wakati wa kuhitimisha mikutano ya hadhara ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, iliyofanyika leo Oktoba 28 katika Viwanja vya CCM Kirumba, Mwanza.

#AzamTVUpndates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *