#HABARI: Wasimazi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mtama, Bw. Boniface Fungo, pamoja wa Jimbo la Mchinga na Jimbo la Lindi Mjini, mkoani Lindi, Bw. Saidi Farahani, wamewataka wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura kuhakikisha wanatenda haki, usawa na kuwapa kipaumbele wenye mahitaji maalum wakati wa kupiga kura Oktoba 29, 2025.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *