#HABARI: Wakati wagombea mbalimbali wakihitimisha kampeni za lala salama kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29,2025, mgombea ubunge Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, kupitia CCM, Dkt. Juma Zuberi Homera, amekerwa na baadhi ya watu wenye nia mbaya ambao walijitokeza kuwapora wananchi kadi za kupigia kura, ili wasijitokeze kupiga kura kuwachagua viongozi wao.
Amevishukuru vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushughulikia suala hilo kwa wakati huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi na kukipigia kura za kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.