
Njaa imeenea katika majimbo mawili mapya ya Sudan, ikiwa ni pamoja na mji wa magharibi wa el-Fasher, ambao uko chii ya udhibiti wa wanajeshi wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) tangu wiki iliyopita, kulingana na ripoti iliyoagizwa na Umoja wa Mataifa na kuchapishwa mnamo Novemba 3, 2025.
Imechapishwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
Mpango huu unaitwa Uainishaji wa Awamu ya Uhakika wa chakula au IPC, shirika lililoagizwa na Umoja wa Mataifa lenye makao yake Roma, limesema kwamba njaa imethibitishwa katika mji uliozingirwa wa Kadugli katika Jimbo la Kordofan Kusini, na kwamba maeneo mengine 20 huko Darfur na Kordofan jirani pia yanatishiwa na njaa.
Taarifa zaidi zinakujia…