Ukosoaji huo umetolewa baada ya wiki hii, Waziri wa fedha wa Marekani kutangaza vikwazo dhidi ya maafisa 8 na makampuni mawili ya Korea Kaskazini.

Waliowekewa vikwazo pamoja na makampuni wanatuhumiwa na Marekani kuhusika na shughuli mbalimbali za utakatishaji fedha ya Korea Kaskazini katika hatua iliyolenga kusitisha ufadhili wa programu za silaha za nchi hiyo.

Hakuna idadi ya vikwazo itakayoishawishi Korea Kaskazini 

hirika la habari nchini humo KNCA  katika taarifa iliyomnukuu Naibu Waziri wa Mambo ya Kigeni anayehusika na masuala ya Marekani Kim Un Cho akisema,  Marekani inapaswa kufahamu haina uwezekano wa kubadilisha hali kati yake na Pyongyang hata kama ingeiwekea vikwazo vingi kiasi gani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *