Wakati wa hafla katika Ikulu ya White House akiwa na viongozi wa Asia ya Kati, Trump alisema kikosi kazi hicho cha kimataifa cha baada ya vita ambacho kinatarajiwa kutumwa Gaza kina uwezekano mkubwa kujumuisha wanajeshi kutoka Misri, Qatar, Uturuki na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Pia amesema kuna nchi nyingi ambazo zimejitolea na kujituma kushughulikia matatizo mbali mbali katika ukanda wa Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *