Akizungumza jana katika Ikulu ya White House alipoandaa dhifa rasmi ya jioni kwa kikundi cha C5 +1 ambacho kinajumuisha jamhuri tano za Asia ya Kati Kazakhstan, Kyrgyzstan, Tajikistan, Turkmenistan, na Uzbekistan, Rais wa Marekani Donald Trump alisema  Iran imekuwa ikiuliza ikiwa vikwazo hivyo vinaweza kuondolewa.

Trump ameongeza kusema kuwa Iran ina vikwazo vikubwa sana vya Marekani na inafanya kuwa vigumu kwa nchi hiyo kufanya kile ambacho  ingependa kufanya.

Hata hivyo amesema yuko tayari kusikiza hilo na kuona kitakachotokea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *