Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake.
Mechi za kundi B kuanza kupigwa leo, wawakilishi wa Tanzania JKT Queens wanakipiga na Gaborone United, mechi hii itachezwa saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Mapema saa 10:00, TP Mazembe kucheza na Asec Mimosas
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
#SisiNiSoka #Azamtvsports