Uchafuzi wa hali ya hewa huchangiwa na shughuli nyingi za binadamu ambazo kw aupande mwingine wa shilingi huitwa ‘Maendeleo’.

Je, wewe unachukua hatua gani kulinda mazingira ili dunia iendelee kuwa salama dhidi ya mabadiliko ya tabianchi?

Sikiliza taarifa fupi ya Nifa Omary iliyosomwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *