Hekaheka za kumchagua Spika wa bunge la 13 zinaendelea huko Dodoma// Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuchukuliwa hatua haraka ili kushughulikia hali mbaya ya kiusalama nchini Mali7/ Rais wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier amevitolea wito vyama vinavyofuata siasa za mrengo wa kushoto kuwajibika zaidi katika kupambana na itikadi kali za mrengo wa kulia.