Josephat Charo 10.11.202510 Novemba 2025 Mabingwa wa Bavaria Bayern Munich walizuiwa sare na Union Berlin katika pambano la kukata na shoka ambalo lilikaribia kukamilika kwa ushindi wa Union mpaka pale Harry Kane aliposawazisha dakika za nyongeza. https://p.dw.com/p/53Nlh Post navigation Kamata kamata ya Watanzania na kesi ya uhaini dhidi yao 10.11.2025 Matangazo ya Jioni