#HABARI: Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Kanda ya Ziwa imefanikiwa kumnasa chui akiwa hai kwa kutumia mtego maalum baada ya kuvamia makazi ya watu na kukaa kwenye mapango ya mlima yaliyopo ndani ya Kijiji cha Mwalali Kata ya Mwaswale, Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu na kula mifugo zaidi ya thelathini, hali inayodaiwa kuwa tishio kwa maisha ya binadamu na mifugo huku wananchi wakiomba zoezi hilo liwe endelevu ili kunusuru mifugo na maisha yao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.