#HABARI: Mlinzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara Shaziri Namnda mwenye umri wa miaka arobaini na tatu amejinyonga hadi kufa kwa kutumia chandarua cha kujikinga na mbu chumbani kwake huku sababu ikiwa haijajulikana.
Tukio hilo limejulikana majira ya saa sita adhuhuri, katika mtaa Ligula Manispaa ya Mtwara Mikindani baada ya majirani kuhisi harufu kali kwenye chumba alichokuwa amepanga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuwaasa majirani kuwa na tabia ya kusalimiana.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.