Chui aliyewatia hofu wakazi wa Kijiji cha Mwalali, wilayani Itilima mkoani Simiyu, amekamatwa na askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) Kanda ya Ziwa baada ya operesheni ya siku mbili.

Mnyama huyo alinaswa kupitia mtego uliowekwa na askari hao kufuatia taarifa za wananchi kuhusu uwepo wake kijijini hapo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *