#HABARI: Mbunge wa Ilala Mussa Zungu akijinadi mbele ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Spika.
Katika bunge lililopita, Zungu alikuwa Naibu Spika wakati Spika alipokuwa Dkt. Tulia Ackson ambaye safari hii alijiondoa kuwania nafasi hiyo katika mchakato wa awali wa ndani ya chama chake cha Mapinduzi.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.