Tazama mchakato mzima wa kuchaguliwa kwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu amefanikiwa kuchaguliwa kuwa Spika.

Mchakato mzima baada ya kila mgombea kujinadi huu hapa.

Imeandaliwa na Juliana James

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *