Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake kuendelea leo kwa mechi za Kundi A.

FC Masar walipata sare mchezo uliopita wakati De Agosto walipoteza, saa 10:00 jioni timu hizi zinakutana.

Je leo nani kupata alama tatu?

Usfas Bamako walipata ushindi mechi iliyopita huku AS FAR walipata sare.

Je, Usfas kuendelea kukusanya alama tatu ama AS FAR kuchukua alama tatu za kwanza

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports2HD.

#Azamtvsports #SisiNiSoka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *