#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa kauli ya kwanza mara baada ya kukaa mahabusu kwa takriban siku 21.
Heche amesema kwa kipindi hicho hakuwa akijua yaliyotokea nchini lakini baada ya kuyaona, anatoa pole kwa Watanzania waliopoteza ndugu zao katika vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.