#HABARI: Zoezi la kula kiapo kwa Wabunge wateule linaendelea kufanyika bungeni jijini Dodoma, zoezi hilo lilianza hapo jana likiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mussa Azzan Zungu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania