Wafugaji katika kijiji cha Katuka, wilayani Kalambo, wameiomba serikali kufanya utafiti juu ya ugonjwa wa kwato na kutoa chanjo, kwani ugonjwa huu unashambulia ng’ombe zao na kuzuia kufanikisha malengo yao ya ufugaji.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *