Mbunge wa Viti Maalum kwa Kundi la Watu wenye Ulemavu, Nassirya Nassir Alli, ameliomba Bunge kurekebisha kanuni ili apate msaidizi wa kutafsiri lugha ya alama ndani ya Bunge, jambo litakalomsaidia kuwasilisha hoja zake na kuuliza maswali.

George Mbara amefanya mahojiano na Nassirya muda mfupi baada ya kuapa bungeni na kuandaa taarifa ifuatayo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *