#HABARI: Wakati Timu ya Taifa ya Soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ikiondoka leo kuelekea nchini Misri, imani imekuwa kubwa kwa wadau wa soka kuwa Benchi jipya la ufundi linaloongozwa na Kocha wa muda Miguel Gamondi na kulitaka kutumia vyema mchezo dhidi ya Kuwait kutengeneza timu bora kwa ajili ya michuano ya mataifa ya Afrika Afcon itakayofanyika nchini Morocco Disemba, mwaka huu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania