Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha Waziri Mkuu Mteule, Mwigulu Nchemba kwa kura 369 kati ya kura 371 zilizopigwa na Wabunge kwa lengo hilo.
Baada ya uthibitisho huo, Dkt. Nchemba ataapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kuanza majukumu ya wadhifa huo.
Imeandaliwa na Juliana James.
Mhariri @moseskwindi