“…mimi umaskini wa Watanzania sijausoma kwenye vitabu nimeuishi, Mhe. Spika katika maisha yangu haya katika umri wangu huu miaka takribani 32 nimeishi katika maisha hayo ya umaskini…..nayatambua matatizo ya ajira ambayo Rais amekuwa anayaongelea, natambua maumivu ya kusoma kwa shida…..” Waziri Mkuu Mteule – Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *