Wakazi wawili wa Kata ya Msongozi, mkoani Morogoro wamefariki dunia na wengine wanne wameugua baada ya kula viazi pori. Theresia Mwanga anasimulia tukio hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *