#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameiagiza ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali (DPP) kuchuja makosa ya vijana waliojihusisha na vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ili wale waliofuata mkumbo wazungumze nao kisha wawaachie.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.