Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Arthur Nanauka kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana.
Akitangaza uteuzi huo leo Novemba 17, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia amesema wizara hiyo haitakuwa na Naibu Waziri kwa sababu ipo chini ya Ofisi ya Rais hivyo waziri atakuwa na wasaidizi wengi.
#AzamTVUpdates