Watu 32 wamefariki dunia baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku mamlaka zikiendelea na shughuli ya uokoaji kubaini endapo kuna miili zaidi iliyofukiwa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi