Happy International Men’s Day!
Leo tunatambua mchango wa wanaume katika familia na jamii na umuhimu wa afya ya mwili, akili na hisia.
Kupitia kampeni ya #MwanaumeNi, Azam Media inaibua simulizi, mijadala na elimu kuhusu afya na utu wa mwanaume wa leo.
💬 “Nguvu ya mwanaume inaanza na kujijali.”
💙 Healthy Men, Healthy Families, Healthy Society.
#InternationalMensDay #MwanaumeNi #MenMatter