Wakati dunia inawaenzi watu wenye ulemavu, wapo baadhi yao ambao wanaishi katika falsafa ya ‘ulemavu si kulemaa’…Mmoja wao ni Silas Kassao wa mkoani Morogoro aliyepata ulemavu wa kudumu akiwa na umri wa miaka 13.
Kassao ni afisa sheria lakini pia ni mkulima, anawakilisha kundi la watu ambao hawakuruhusu ulemavu kuwa kikomo. Licha ya juhudi bado zipo changamoto zinazoendelea kukumba kundi hili na hapa anazieleza.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm