#HABARI: Watanzania hasa vijana wametakiwa kujiepusha na vurugu zinazoweza kuhatarisha amani ya nchi, kwa kufanya uharibifu wa mali za umma na za watu binafsi kwa madai ya kutafuta haki na badala yake watumie nafasi hiyo kuwasilisha malalamiko yao kwa viongozi husika kwa njia ya amani na utulivu, ili kutatuliwa kwa changamoto zao.

Wito huo umetolewa na viongozi wa Tasisi ya Haki na Amani mkoani humo pamoja na wananchi kuhusu umuhimu wa uwepo wa Amani kwa taifa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *