#HABARI: Serikali ya Mkoa wa Tabora kupitia kwa Mkuu wa mkoa huo Bw. Paulo Chacha imewatoa hofu wakazi wa mkoa huo juu ya uwepo wa taarifa za njama za makundi ya watu kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali ya nchi kama zilizotokea kwenye siku ya uchaguzi mkuu wa hivi karibuni ambapo wananchi wametakiwa kuendelea na shughuli zao za kila siku bila mashaka na kwamba hakuna shughuli yoyote itakayosimamishwa mkoani hapo kwani vyombo vya dola viko tayari wakati wote kulinda raia na mali zao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *