Jumla ya pikipiki 381 zimegawiwa kwa maafisa ugani walio chini ya usimamizi wa mamlaka za serikali za mitaa ili kuwafikia wakulima na kujenga ushirikiano na wafugaji kwa lengo la kupata taarifa sahihi, kuelimisha wafugaji, kusambaza teknolojia na kupata mrejesho wa matumizi ya teknolojia hizo.

Akikabidhi Pikipiki hizo, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Bashiru Ally amesema kipimo cha ufanisi wa utendaji kazi wa maafisa hao ni kufanikiwa kwa wafugaji hususani kwa kutanguliza dhana ya majadiliano zaidi badala ya kufundisha pindi wanapokuwa uwandani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *