Wananchi wa Kijiji cha Ihimbo – Mufind, mkoani Iringa, wameiomba serikali kuja na suluhisho la kudumu kuhusu ukosefu wa maji safi na salama, kero ambayo imekuwa ikiwalazimu kutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya zao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm