#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya, Bw. Elias Mwanjala, amejitokeza hadharani kwa mara nyingine na kutoa kauli juu ya fedha ambazo alidai kuwa zimeteketea kwa moto wakati jengo la chama hicho lilipochomwa.
Bw.Mwanjala amesema kuwa ukweli wa fedha hizo kama zimeteketea kwa moto au kuchukuliwa na yeyote wameviachia vyombo vya ulinzi na usalama viendelee na uchunguzi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania