Kwa wengi, kufikisha umri wa miaka 71 humaanisha kupumzika na kuangalia kizazi kipya kikikimbiza ndoto. Lakini kwa Mzee Steven Lameck (71), mkazi wa mkoa wa Katavi, umri huo umegeuka kuwa mwanzo mpya uliotimia kwa ujasiri na uvumilivu usio wa kawaida baada ya kufanikiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne uliofanyika hivi karibuni.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *