
TRT yaondoka mkutano wa EBU wakati wanachama wakitofautiana kuhusu ushiriki wa Israel Eurovision
Vyombo vya habari vilishtumu kuendelea kushiriki kwa Israel huku mauaji ya halaiki yakiendelea Gaza, wanachaama kadhaa wa bara Ulaya walitangaza kususia mashindano ya Eurovision 2026.