#HABARI: Moto mkubwa umezuka katika kiwanda kinachodaiwa kuwa cha kutengenezea samani za Mbao, kilichopo maeneo ya Boko Msikitini Dar es Salaam, usiku wa Desemba 04, 2025 chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, juhudi za wananchi zimetumika ili kuzuia moto usisababishe madhara katika makazi ya watu karibu na kiwanda hicho.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania