#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limekamata shehena ya vitu mbalimbali vilivyoporwa katika makazi ya watu, viwandani na maeneo mengine, ikiwemo mashine mbili za ATM mali ya Benki ya CRDB pamoja na Mapipa ya Kemikali ya kutengenezea magodoro, vipuri vya magari pamoja na mitungi ya gesi katika vurugu zilizoibuka wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.